Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Sema shem. Kumbe upo?

Waiiii [emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️
 
Atamalizia watu huko sasa likes atakuwa anazipata za nani? Miye niko huko. Yule jamaa wa mapovu naye yuko huko. Kuna vijana wawili walimuuliza uliza vitu juzi hapa nadhani nao wako huko. Na nyie mkiwa huko sasa si atakuwa anajishoot mwenyewe. Kama bado mnapata likes basi ni wazi hamko huko. Kama hamzipati basi welcome to the club...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siku hizi naona kuna wenzie wawili(new id)ndo zina mlike.
Mimi tangu yale mapovu ya siku ile naona kaniweka huko[emoji23]halafu sina habari
 
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png


[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]picha zinatisha
Kuna mtu alikuja kusema hapa eti mtoto wa kike ukiwa mchawi mchawi haipendezi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]waaaiiiii
 
Katika mazingira ya elimu kama chuo
au kazini,
vijana wengi wamekuwa kitaaluma na kiujuzi, lakini
kihisia bado wanakuwa ni wadogo lakini wanashindwa kulitambua hilo.
Jibu linaweza kuja kwa haraka kwamba,
hiki ni kizazi cha vijana wanaojua vitu vingi mapema kabla ya umri wao.
 
Kwenye mapenzi kuna vitu vikuu viwili vya kuzingatia, navyo ni KUPANUANA na KUTIANA.

1.KUPANUANA.
Hakikisha mpenzi wako ana upeo wa kimaisha kiasi kwamba anaweza kukupanua mawazo yako, la sivyo utakuwa unatembea na kichwa maji.

2.KUTIANA
Hili suala pia lina umuhimu wake katika safari nzima ya mapenzi. Unaweza kukaa na kukata tamaa, hivyo hakikisha una mpenzi wa KUKUTIA MOYO na sio yule ambaye kama umekata tamaa anakupa msongo wa mawazo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28] we wazaga tu uzwange
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]


Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
KUPANUANA na KUTIANA.

Kanuni bora kabisa hizi na ndiyo mara ya kwanza nazisikia...
 
Back
Top Bottom