Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

BVHhDGgh9n6.jpg
 
Kweli vyuma vimekaza kwa mabrazameni. Mpaka kweli unajinunulia maua? Wewe huyu uliyekuwa unakuta marundo ya maua kutoka kwa KaYego? Can't believe this...

Yaani acha kabisa, vyuma vimekaza vibaya. Lakini carbamazepine namwambia hiviii, don’t worry, bout a thing~Cause everything gonna be alright! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji124][emoji124][emoji124]
 
Hebu soma hapa uzijue hizo tabia kama haujakumbwa na balaa hizo basi ujipange.

1.KUWEKA UJUMBE WA AINA MOJA MARA NYINGI KATIKA UKURASA WA MTU
Kitu chochote kinapozidi kiwango huwa kinachefua hata kuangalia,
hata kama unamjali mtu
huwezi kuweka ujumbe mmoja
mara kibao utakuwa unamfanya apoteze
ladha ya ujumbe.
We mtu anaposti"duh!"x10 hadi inachosha kusoma.
 
Back
Top Bottom