Hahahaha cole banaBro. Naona hawa mabinti wamekuambukiza lafudhi zao mpaka nawe waiii zimeanza kukutoka. Angalia wasikufikishe mpaka kwenye jomoni woiiii. Haitapendeza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ledada anamwendesha bro...au niseme bro na Ledada (Jakitoo) wanaendeshana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaha cole bana
Hapo kwenye mawigi ni tatizo, achana na rangi..kuna mtu akiona wigi kwa mwenzie limemkaa fresh anafikiri nae litamkaa vivyo hivyo,, Mweee! Waweza tokelezea kama NUNGU NUNGU..Sio kila kimfaacho mwenzio nawe kitakufaa, vichwa na umbo la uso vyatofautiana NTU na NTU.10.KUVAA WIGI LA RANGI AU MTINDO USIOENDANA NA WEWE
Si kila wigi la nywele linafaa kuvaliwa na kila mtu,
kuna mawigi mengine rangi yake haiendani na wewe.
Hata kama ndio liko katika fasheni lakini usiharibu muonekano wako
kwa kuingia kichwa kichwa matika mtindo
usiokupendeza.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] sasa kwa nini ulog out?Umefurahi kusikia hivyo eeh[emoji23][emoji23]
Kweli vyuma vimekaza kwa mabrazameni. Mpaka kweli unajinunulia maua? Wewe huyu uliyekuwa unakuta marundo ya maua kutoka kwa KaYego? Can't believe this...
Huyu Imam yuko deep eeeh!?
26 ways to be happy.
1. Do not expect too much.
2. Don't worry to much. It won't change a thing.
3. Smile. You don't own all the problems in the world.
4. Be kind to everyone.
5. Don't cry over spilled milk.
6. Give without expecting something in return.
7. Respect yourself and the people around.
8. You can't please everyone, it's okay.
9. Don't mind the people who are very salty with you.
10. Travel.
11. Eat the food you like.
12. Find contentment in simple things.
13. Cherish the people who love you.
14. Learn to accept defeat and failure. Move forward and be better.
15. Treat people the way you wanted to be treated.
16. Love yourself.
17. Know your worth.
18. Don't settle for less than you deserve.
19. Pursue your passions.
20. Stop complaining.
21. Learn to appreciate.
22. Be contented.
23. Forgive and don't hold grudges.
24. Be a catalyst for change.
25. Ask God's guidance in every decision you make
26. Be yourself.
hahahaha nime imagine picha ya nungu nungu hahaha watu mna manenoHapo kwenye mawigi ni tatizo, achana na rangi..kuna mtu akiona wigi kwa mwenzie limemkaa fresh anafikiri nae litamkaa vivyo hivyo,, Mweee! Waweza tokelezea kama NUNGU NUNGU..Sio kila kimfaacho mwenzio nawe kitakufaa, vichwa na umbo la uso vyatofautiana NTU na NTU.