ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aki nilikuwa sijui hata naongea nini[emoji124] [emoji124] waiMkuu weka sawa mtongozo mlaini ukoje na mtongozo mgumu ukoje?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeshasema 0205 nalog out kama wiki hivi
Nimekusamehe, lakini usirudie tena kuisema vibaya rangi hii nzuri na adimu ya ngozi ambayo huwezi kuipata kwenye makopo ya vipodozi na mkorogo[emoji87] [emoji85] nisamehe
Mi mbona wananipenda [emoji3] [emoji3] nami nawapenda?Eti nasikia watu weusi hawapendi waarabu. [emoji16] [emoji91]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125][emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] cole ni mgumu buana hawezi
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Kwahiyo unataka kusema natongoza kigumu gumu au???
ManC 5 SWA 0
Aisee kama ndio hivi hili zoezi lazima lifail tu hakuna namna
Haki hawapati mtu labda wazeeHuu udhalilishaji sasa,, hlf njia hii ni ya kizamani sanaView attachment 753633
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Taratibu tu utakubali[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Umefurahi kusikia hivyo eeh[emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23]
WoyooooManC 5 SWA 0
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]We utakuwa mhindi siyo bure[emoji23] [emoji108]
Mgumu kamili gado, unamwaga mashairi ambayo wenzako wanaona kujichosha tu.Kila mtu anatamani apate mtu bora sio bora mtu
Kwa mantiki iyo mimi kuwa kamili gado ni sawa na kuwa mtu bora.
[emoji125] [emoji125] [emoji125]