Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Akichambua zaidi kuhusu sababu za wanawake kuathirika zaidi na sonona, mtaalamu wa afya ya akili, Dk Cassian Nyandindi wa Hospitali ya Mwananyamala alisema wanawake husumbuliwa na sonona kutokana na aina ya maisha wanayoishi.

“Sonona huwasumbua zaidi wanawake kwa sababu ni walezi wa familia, aina ya shughuli zao, inapotokea ndoa kuvunjika wanawake hubeba mzigo mkubwa wa familia,” alisema.
 
IMG_20180416_183012_075.jpg
 
Wengine tangu wamezaliwa vipashio vya mwili havijakaa sawa (neurotransimitters) ambavyo kazi yake ni kupasha habari, wakati mwingine vinakuwa na tatizo, hivyo vinamuweka mtu katika hatari ya kupata maradhi ya afya ya akili,” alisema.

Alisema maradhi kama Ukimwi, malaria na kifua kikuu huweza kumuathiri mtu kulingana na namna atakavyoyapokea na kukabiliana nayo.
 
Maradhi yanasababisha msongo, kwa mfano mtu mwenye presha akifurahi inapanda, akichukia inapanda, asiposamehe inapanda, hivyo anakuwa kwenye hatari ya kupata maradhi ya afya ya akili,” alisema.

Alizungumzia pia sababu za kimazingira ikiwamo misiba au kuachana na mtu uliyempenda
 
Dalili za ugonjwa wa akili

Dk Kuganda amezitaja dalili kuu za maradhi ya afya ya akili akisema zinatofautishwa na mambo mawili.

Jambo la kwanza ni kufanya mambo yasiyo ya kawaida makubwa na yasiyo ya kawaida lakini madogo.

“Kwa mfano, mtu mzima anajisaidia hadharani, mwingine anacheka peke yake,” alisema.
 
Back
Top Bottom