Wewe unalala saa ngapi?Usiku mwema
Hahahhaha.Bapa nipunguze hasira[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Babe S wangu niambie[emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6]
HahhahahaHaotagi watu wenye vichwa vichafu kama wewe
Hahaahhahhahha nacheka mieYaan huyo ni mtoto wa babu mzaa bibi yangu. Kwhy babu yangu na bibi yake walikuwa ndg. Kwhy huyo ni shemeji yako.
[emoji8]Teh teh teh...lol!!!
Na hiyo mibaba inayo kutongoza kwa kilugha ni minani?Sijasikia hapa, eti nini? Walah leo unakutana na talaka yako mlangoni.
Hahahahaha tunasemaga wameendana.Naona bibi harusi ns bwana harusi wamefanana
Na nani tena...!?Natangaza vita
Niliemuandikia nialie sema ana lalaWewe unalala saa ngapi?
Hivi Mkuu kwanini umejiita kichwa kichafu?Hahhahaha
Hahahahaha...Adui zangu ni wanne kama wa Sharif Hamad wa cuf.
Bora mpungue kesho nayo sikuUsiku mwema
Nipo nzegaWewe unalala saa ngapi?
Hahahahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23]
Utasikia na mwanamme mwenzie kisa Ukuhty au jakitooNa nani tena...!?
Kwani wewe hautalala?Niliemuandikia nialie sema ana lala
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kisu kimegonga mfupaNa wewe libaba likubwa hebu mwache nsamaka ni mke wa mtuuu, mwacheee... Mtaniua jamani mwacheniiii