Nahene.....ila mbona mapema.....msubirie mwenzio.....Mlale salama wapenzi, andjul plz rudi nyumbani
Hata mimi niliwaza hivyo hivyo si hali ya kawaida et umuoe mwanaume mwenzio na ushindwe kugundua kama huyu ni mwanaume?kweli??Siamin kwa kweli wanaficha kitu hao wanandoa
Aah sasa mnazuia wasichat kwa uhuruBila wivu atajuaje kama kwwli na mpenda ooh babe S
Naomba tuyajenge mamaKumbeee
Sodoma na gomora tayari. Tena kijijin aiseeeHata mimi niliwaza hivyo hivyo si hali ya kawaida et umuoe mwanaume mwenzio na ushindwe kugundua kama huyu ni mwanaume?kweli??
Enhe....Hili jina bhana
[emoji23] [emoji23] uniq kazidi aiseehUniq na andjul wana wivu jaman hahaha
Ha ha haSwal zuri
Nimejikuta tu.Nje ya mlango we mlinzi??[emoji23] [emoji23]
Love mubie abebe katoto kakeNahene.....ila mbona mapema.....msubirie mwenzio.....
Kwa kiasi kikubwa sanaa....kuandika tu ndo tatizoUnaielewa hiyo lugha Baby S?
Yashabomoka haya hayafai kujengwa tena [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naomba tuyajenge mama
Hakuna Babe S wangu anachat na yeyote ila vijidume ndio akili havina akichati navyo vinarusha manenoAah sasa mnazuia wasichat kwa uhuru
Nimefunguka ya moyoni anasema notification inaenda kwa speed ya kinyonga haijampataSema na wewe umetamani tu.....
Mamaa Numbisa aka Tembisa