Haaaaaa[emoji23] [emoji23] uniq kazidi aiseeh
Hizo ni dharau, muongee kwa kilugha? Kweli? Sina uhakika kama nitarudi nyumbaniHawa ni mashemeji zako tu,usihofu
Walaa sitaman pingu za hivyo banaSema na wewe umetamani tu.....
Mamaa Numbisa aka Tembisa
TEMBISAAAA... Hivi kwanini hu update Isidingo tenaSodoma na gomora tayari. Tena kijijin aiseee
Inawezekana kwakweli maana dunia yenyewe hii,mungu atunusuru ns vizazi vyetuSodoma na gomora tayari. Tena kijijin aiseee
Usijali. Ila kama hauwa like wengine wa like tu maisha aendelee. Halafu hako kalugha kako kananivutia sana mwanawane, nitakapataje?Bora unitetee
NsamakaaNaomba tuyajenge mama
Nilijicompare nilivyo kuwa mtoto(5-15years) hivi na age ya huu utu uzima nikaona hiki kichwa kwa sasa daahEnhe....
Kumbe lako lina haribika ndio maana unasema nina wivu.Yashabomoka haya hayafai kujengwa tena [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nadhani alitaka kumaanisha kuwa mimi ni na mama yake, sema naona muunganiko wa manenoMuangalie basi msije mkazidisha utani wapendwa!
Kweli kabisaInawezekana kwakweli maana dunia yenyewe hii,mungu atunusuru ns vizazi vyetu
Hahahahaha nime imagine hiyo viewnasikilizia kwa jirani nimesimama dirishani nasikiliza [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]