myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Morning shiroSafe inside
6.ANATUMIA HEKIMA KABLA HAJAFANYA JAMBO
Mtu ambaye amekuwa anafundishika,
hajioni kuwa ana majibu
ya kila kitu.
Jinsi anavyozidi kujua vitu ndivyo anavyozidi kutafuta hekima.
Huwa hawaoni aibu kufuata ushauri kwa mwalimu, au mzazi
pale anapoona amekwama.
Amini, kwema lakini mkuuMungu atupe afya na uzima
kwema kabisa..kwako kwema?Amini, kwema lakini mkuu
Kwema mkuu,tunamshukuru Mungukwema kabisa..kwako kwema?
morning..Morning
Pep hawezi mfikia babu Fergie,Pep anaonekana kocha bora kwenye zama hizi ambazo waarabu wameharibu soka, ukiwa na pesa unakuwa na mchezaji yoyote yule unaemtaka
LBJ kafanya maajabu leo, lkn Cavs bado sio timu ya kuchukua ubingwa kwa msimu huu