Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

4.WANASIMAMIA MAAMUZI YAO


Wana misimamo inayotawala maamuzi yao,
wako tayari kufuata
misimamo yao na kupita njia ya maisha waliyochagua kwa
ujasiri bila kubabaika na wanakuwa tayari kuwajibika kutokana na
maamuzi yao.
Tabia zao ndio zinaongoza maamuzi yao ya kila siku
 
Chloroquine inatumika kama prophylaxis ya malaria kwa wenye sickle cell sasa hivi mseto ndo 1st line katika kutibu malaria.
Quinine imepandishwa daraja ni 1nd line kwa severe malaria.

Xpen(kristapen)ni antibiotic hiyo[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

Daa...Madawa yote makali yenye side effects za kufa mtu! Hasa hiyo Quinine, nashukuru Mungu mara ya mwisho kuugua Malaria ilikuwa ni enzi za Chloroquine injection au 4-4-2 Tablets!
 
Siku hizi haogopi mtu,ana uhuru sana.
Ngoja mathee arudi atakuwa mpole huyo maana hachelewi kum quote na [emoji124] [emoji124] [emoji124] ama[emoji15][emoji15][emoji15]
Dadii anakuwa mpole[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
5.WEPESI WA SHUKRANI


Iko wazi kabisa,
kuwa unavyozidi kukua ndio kuonyesha shukrani kwa watu na Mungu
si kitu cha kuficha katika mambo madogo
hadi makubwa
unayofanyiwa.
Mtu ambaye hajakua anaona yote yanayomtokea anayastahili kwahiyo
kushukuru hawezi.
 
6.ANATUMIA HEKIMA KABLA HAJAFANYA JAMBO


Mtu ambaye amekuwa anafundishika,
hajioni kuwa ana majibu
ya kila kitu.
Jinsi anavyozidi kujua vitu ndivyo anavyozidi kutafuta hekima.
Huwa hawaoni aibu kufuata ushauri kwa mwalimu, au mzazi
pale anapoona amekwama.
 
Siku hizi haogopi mtu,ana uhuru sana.
Ngoja mathee arudi atakuwa mpole huyo maana hachelewi kum quote na [emoji124] [emoji124] [emoji124] ama[emoji15][emoji15][emoji15]
Dadii anakuwa mpole[emoji23][emoji23][emoji23]
O205 itafika jamani. Siku hiyo nitawalilia mods wanilambe ban. Mtaona !!!
 
Back
Top Bottom