Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahaa...Hivi hizo bado ziko effective kwa Malaria? Nikitokaga huku kijijini Nansio kuja huko mjini, sisikii watu kuziongelea tena; unakuwa unasikia Mseto tu! [emoji23][emoji23]
Chloroquine inatumika kama prophylaxis ya malaria kwa wenye sickle cell sasa hivi mseto ndo 1st line katika kutibu malaria.
Quinine imepandishwa daraja ni 1nd line kwa severe malaria.

Xpen(kristapen)ni antibiotic hiyo[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
ZIFUATAZO NI ISHARA ZA KUKUA KIHISIA:

1.KUWA MVUMILIVU


Hii ni ishara inayomtofautisha mtu ambaye amekua na
yule ambaye hajakua kihisia.
Sifa moja ya watu ambao hawajakua kihisia ni kutosubiria muda muafaka wa kufanya mambo yake,
yawezekana watu wengine wakaumia lakini kwa kuwa yeye amefurahi,
ni sawa tu.
Aliyekuwa kihisia hata kama
hilo jambo ni la kumfurahisha,
atasubiri tu muda muafaka ufike.
 
2.HAYUMBISHWI NA KUKOSOLEWA


Aliyekuwa kihisia anaelewa kabisa kwamba,
kukosolewa ni
sehemu ya kujifunza.
Watu waliokua kihisia,
huwa wanapokea kukosolewa bila
kuruhusu ukosoaji huo uharibu mambo yake mengine.
Wanajielewa wanataka nini na wao ni nani.
 
3.WANAKUWA NA ROHO YA UNYENYEKEVU


Unyenyekevu huwa unaenda sambamba na ukuaji wa hisia.
Unyenyekevu si kuwafikiria wenzako tu
kwanza na wewe ukajitelekeza,
hapana.
Wanakuwa si watu wa kujipendelea wao
tu kwa kila kitu.
Ila ni watu wa kwanza
kutambua kuwa uwezo waliopewa na Mungu
ni kwa ajili ya viumbe na watu wanaoishi nao.
 
4.WANASIMAMIA MAAMUZI YAO


Wana misimamo inayotawala maamuzi yao,
wako tayari kufuata
misimamo yao na kupita njia ya maisha waliyochagua kwa
ujasiri bila kubabaika na wanakuwa tayari kuwajibika kutokana na
maamuzi yao.
Tabia zao ndio zinaongoza maamuzi yao ya kila siku
 
BUXVxIWBjMi.jpg
 
Back
Top Bottom