Freesociety
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 1,081
- 1,044
Unafiki ni sehemu ya maisha. Ili kuwa strong lazima unafiki uwepo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]AMA kweli maisha bila ya unafiki hayaendi. Ndicho unachoweza kusema kuhusu maisha ya Arsene Wenger huko Arsenal baada ya mashabiki wa timu hiyo jana Jumapili kubeba mabango ya kumpongeza kocha huyo siku chache tu baada ya kutangaza kwamba ataachia ngazi mwisho wa msimu.