Freesociety
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 1,081
- 1,044
Unafiki ni sehemu ya maisha. Ili kuwa strong lazima unafiki uwepo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]AMA kweli maisha bila ya unafiki hayaendi. Ndicho unachoweza kusema kuhusu maisha ya Arsene Wenger huko Arsenal baada ya mashabiki wa timu hiyo jana Jumapili kubeba mabango ya kumpongeza kocha huyo siku chache tu baada ya kutangaza kwamba ataachia ngazi mwisho wa msimu.
sana aisee,ngoja tubanane humu humuYaani acha kabisa.
Ukiingia humu hutamani kutoka kabisa.
Salama kabisa kasmartIlikuwa poa shiro,vp ww
Sendoff[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nani anaolewa?Mechi hiyo ilikuwa kama send-off kwa kocha Wenger, ambaye hatakuwa na kikosi hicho kwa msimu ujao baada ya kudumu kwenye timu hiyo kwa karibu miaka 22.
Poa shiro,Salama kabisa kasmart
Shukrani kiongoziLikes nawe upate likes
But God avenges His enemies