Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Aisee,

Inatia huruma na kukatisha tamaa kuona mtu anajitahidi kupambana km hvo hlf unarudshwa nyuma pasipo kuwa na sababu muhimu, zaidi ya ukiritimba tu
 
Mkuu, Mungu akulipe kwa wema ulioufanya..haya maamuzi hayaangalii manufaa ya mitandao ila mabaya tu.
Manufaa ni mengi Mara 90 kuliko mabaya 10. wanaangalia mmoja anaetukana kuliko mia wanaonufaika..
 
Brathee...Wakati wa watu kunywea bia ndani na wake zao umefika sasa. Wenye mabaa watayafunga. Pengine n.k a migogoro ya ndoa itapungua sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28], wanaume watakuwa wanakunywa kwa kuvizia vizia, kama wanaiba vile.[emoji23][emoji23],
Mwaka huu wenu.[emoji23][emoji23][emoji28][emoji23][emoji28]



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…