Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA ) imewapa muda wa wiki mbili wamiliki wa mitandao ya kijamii ya 'blogs', tovuti na aina nyingine ya vyombo vya habari vya habari vinavyochapisha kwenye mtandao kujisajili nchini Tanzania.
Hatua hii imekuja ili kudhibiti maudhui mitandaoni ikiwa ni matakwa ya sheria mpya ambayo ilionekana kuwa na mkanganyo.
Duh! Mpaka tukatoboe awamu hii! Tutanyooka tu.
 
Self inflicted wounds. Unajifanya kuchukiwa kwa mambo ya kijinga tu. Haya ndo mambo niliyokuwa naongea na Jirani. Mtu anaendesha nchi kama familia yake. Na falsafa, mitazamo na amali alizokuzwa nazo ndizo wote mnalazimishwa mkubaliane nazo. Tunakoelekea siyo kuzuri !!!
Mkuu..nchi hii ina vijana wazuri,wasomi na wenye mtizamo chanya..wangetutao hapa na kutuvusha kuwa nchi ya uchumi wa kati(ki uhalisia) lakini kama zilivyo nchi zililizo chini ya jangwa la sahara na juu ya jangwa la kalahari..tuliowapandisha juu ya ' mti' wanatusahau, wanakula matunda na kutupa kokwa chini..
Leo mitandao!!!!! Duh! Hata wahindi waliotawaliwa na mkoloni kama sisi wametupita kama roketi..
He!!! Nimetoka nje ya mada samahani.
 
Aii
IMG-20180423-WA0013.jpg
 
Nimeanza kuogopa jirani....

Ngoja tuone...

Mimi nilikuwa na kiblog changu naweka vitabu huko vya kila aina na vijana walikuwa wanavigombania sana. Wanasema vitabu wanavyotaka nami nawatafutia na kuviweka hapo. Mavitabu yanayogharimu laki mpaka 9 nayaweka hapo bure. Huu nilidhani kuwa nami natoa kamchango kangu kwa nchi yangu. Sasa leo naambiwa nilipie dola 950 ili kusajili kiblog hicho. Milioni 2+nitazitoa wapi wakati kiblog chenyewe wala hakiniingizii pesa?
 
Back
Top Bottom