ledada
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 17,468
- 67,492
[emoji126] [emoji126] [emoji126][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji126][emoji126][emoji126]
[emoji126] [emoji126] [emoji126][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji126][emoji126][emoji126]
Huwa najaribu jaribuUnafanyaga yoga shem? [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️
Jirani hujambo? Kumbe ndio maana umekua slimslim.[emoji16][emoji16][emoji16]Huwa najaribu jaribu
Hapana jirani. Wanasosholojia sasa wanaamini kwamba tabia za ubabe zinaanzia kwenye familia. Zinachomoza huko kwa kadri mtu unavyozipanda ngazi. Jamii zenye demokrasia katika kiwango cha familia pia ndizo zina demokrasia mpaka kiwango cha taifa (and vice versa). Udikteta unaanzia hukooo majumbani jirani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata kwenye familia kuna matatizo..ila ni baina ya mtu na mtu..ila kutawala jamii ndiko kuna shida zaidi
Za muda buda?Shiro, sema !!!
Nitayahamishia kwingine. Nitanunua domain kwa Warusi huko niyamwage huko. Halitaharibika neno !!!Waaaaiiiiii[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Dah!nasikitika maana kuna mavitabu ni ghali kweli mtoto wa masikin hawezi mudu kununua.
Kila kitu tunaweka siasa,aaagggrrr[emoji35][emoji35][emoji35]
The dead will be raised! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijui nikatesti malimau? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Niko poa nyarukuyo[emoji23] [emoji23]Aje mathee,si uko poa?
Salama mpendwaHabari za sahizi wapendwa wa Mungu.