Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mwanamke ambaye anatarajiwa kuwa mke wa saba wa aliyekuwa rais wa Afrika kusini,Jacob Zuma amelazimishwa kujiuzulu ajira yake ya ukuu wa asasi isiyokuwa ya kiserikali na chombo cha habari cha nchini humo.
Nonkanyiso Conco ambaye ana mahusiano ya kimapenzi na bwana Zuma ambaye amemzidi umri wa miaka 52. wakati huo yuko kwenye asasi inayohamasisha kampeni ya kuwawezesha mabinti wadogo katika maisha yao ya kila siku na kuacha kuwategemea wanaume wenye umri mkubwa.
Mke wa saba duh! Kuna mijitu inafaudu hapa duniani aisee. Wengine hata mmoja hatuna. No ikwalite kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ina maana tuache kuwasikiliza wahamasishaji wanaotufundisha mbinu za kuwa mabilionea japo wenyewe hawana kitu?
852713690_277975.jpg
 
Back
Top Bottom