Alisema: “Ukweli ilikuwa ngumu sana kwangu, kuja kwenye klabu kubwa na kubadili kila kitu. Kwa sasa nina furaha kwa ajili ya timu na mabao yangu na namna ninavyoshiriki. Pogba alinipigia pasi nzuri sana na nilipoona mpira unakuja tu hewani, nikasema nafunga hapahapa kwenye upande wa karibu. Lakini, kipa nikaona amesogea upande huo, nikabadilika haraka sana, nikapiga engo ya mbali.”