Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Siku za karibuni, Mourinho amekuwa akimjumuisha mwanaye, Jose Junior, kwenye benchi la ufundi kama ilivyokuwa kwenye mechi dhidi ya Swansea City na Spurs na jambo hilo limezua sintofahamu. Lakini, kuwashambulia wachezaji hadharani ni jambo jingine pia linaloonekana kumuweka kwenye wakati mgumu.
 
Kwa mfano kwenye mechi dhidi ya Brighton kwenye Kombe la FA mwezi uliopita, alimuuliza kiungo Nemanja Matic kama amechoka baada ya kucheza kichovu, kisha akadai anapaswa kuchoka kwa sababu ndiye mchezaji anayecheza kwa nguvu kubwa kwenye kikosi.
 
Mourinho pia amekuwa akiwakosoa mastaa wake hadharani akiwamo Paul Pogba na Romelu Lukaku na amekuwa akitoa pongezi kwa mchezaji mmoja mmoja, jambo ambalo limekuwa likiwagawa. Kuondoka kwa Zlatan Ibrahimovic pia kumezua jambo baada ya kudaiwa staa huyo ndiye aliyekuwa akisimamia kupambana kwa ajili ya wenzake anapoona wanaonewa.
 
Hapa kazi tu.
Screenshot_2018-04-23-18-13-50-1.jpg
 
Back
Top Bottom