Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Huenda ni kocha mzuri, lakini vitendo vyake kwenye vyumba vya kubadirishia nguo vinamvunjia heshimaUMEISIKIA hii? Kwamba Jose Mourinho amewagawanya wachezaji na makocha wenzake kwenye vyumba vya kubadilishia na jambo hilo linaweza kuchenji na kujikuta akifungashiwa virago vyake huko Old Trafford.
...Avune alichopandaTaarifa hizo zinadai licha ya Man United kutinga fainali ya Kombe la FA kwa kuifunga Tottenham Hotspur juzi Jumamosi, kuna watu wasiopungua 12 ambao ni wachezaji na baadhi ya makocha wanaonekana kutopendezwa na mambo ya kocha huyo.
Hapana. Blog kweli ninayo ila haina hilo jina. Hata leo nimeshusha gazeti huko na wachangiaji kibao tu. Nilikuwa naitumia kujifunzia kuandika mambo mbalimbali hasa masuala ya sayansi, falsafa na elimuhii blog ni ya ukweli?
Hilo neno tu mnalitafuta halafu mnaanza kulijadili. Topiki ya reproduction wengine mpaka walikuwa wanalegea. Si mchezo ati !!!Kwamba waangalia kwa kificho ama?[emoji23]