Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

852732262_180299.jpg
 
VITA kali sasa imeibuka baina ya Arsenal na Chelsea zikidaiwa kumgombea Kocha Luis Enrique.

Arsenal inamtaka kocha huyo wa zamani wa Barcelona aje kurithi mikoba ya Arsene Wenger, lakini bilionea mmiliki wa klabu ya Chelsea, Roman Abramovich yeye ameshapiga hatua nzuri kwenye mazungumzo na Mhispaniola huyo ili achukue nafasi ya Antonio Conte.
Ni heri aende zake Arsenal kuliko kwa mrusi asiye na subira.
 
Enrique, 47, amekuwa akitajwa kwa nafasi kubwa ya kwenda kukalia kiti cha moto cha huko Emirates baada ya gwiji wa Arsenal, Patrick Vieira na Kocha wa Celtic, Brendan Rodgers kuonekana kujitoa kwenye mchakato wa kuwa makocha wapya wa Washika Bunduki hao wa London.
Bure wameogopa. Kufundisha Arsenal ni rahisi kuliko Chelsea. Viongozi na mashabiiki wa Arsenal ni wavumilivu sana
 
Back
Top Bottom