Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG-20180423-WA0019.jpg
 
Mimi nimezoea chakula cha jikoni tena kikiwa cha moto,nataka huko jikoni unakopika hizo makala nikajisomee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naomba shem[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]puliiiiiziiiii
Anonymous for life (In Numbisa's voice) [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwanamke ambaye anatarajiwa kuwa mke wa saba wa aliyekuwa rais wa Afrika kusini,Jacob Zuma amelazimishwa kujiuzulu ajira yake ya ukuu wa asasi isiyokuwa ya kiserikali na chombo cha habari cha nchini humo.
Nonkanyiso Conco ambaye ana mahusiano ya kimapenzi na bwana Zuma ambaye amemzidi umri wa miaka 52. wakati huo yuko kwenye asasi inayohamasisha kampeni ya kuwawezesha mabinti wadogo katika maisha yao ya kila siku na kuacha kuwategemea wanaume wenye umri mkubwa.
 
Back
Top Bottom