myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
19:40
Muvi au nini
Kweli..huyo kavizaa karibukaribu..Wangekuwa Waafrika wangekuwa wanapigiwa makelele balaa kuwa wanazidi kuongeza walishwaji tu. Ndiyo maana Mugabe naye alikuwa anawakoromea...
Brathee[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Gai bratheee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Leo wamepotelea wapi mabros na jomoni zao?
"Shiro sema"
"Sijambo Kasmart"
Yaani mpaka raha !!!
Mathee[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Sijui hata wako wapi ila shiro namuona anagonga likes kimya kimya.
Hivi shem hupokei hongo?[emoji23][emoji23][emoji23]
Hongo sipokei shem [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].We nambie tu kama wapokea ama laa,nataka hako ka address brathee[emoji23][emoji23]siriasi
Shiro, sema !!!
Aje mathee,si uko poa?Brathee[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] Mathee[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Kweli jirani....Madaraka matamu..ila kuyatumia kuna tofauti kubwa..
Hata kwenye familia kuna matatizo..ila ni baina ya mtu na mtu..ila kutawala jamii ndiko kuna shida zaidiKweli jirani....
Kama tunataka kubadilisha utumiaji wa madaraka tuanzie katika familia. Tunayatumiaje madaraka yetu tukiwa kama vichwa vya familia katika jamii za Kiafrika?
Unafanyaga yoga shem? [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji126][emoji126][emoji126]
Duh!! Haya!Mwanamke ambaye anatarajiwa kuwa mke wa saba wa aliyekuwa rais wa Afrika kusini,Jacob Zuma amelazimishwa kujiuzulu ajira yake ya ukuu wa asasi isiyokuwa ya kiserikali na chombo cha habari cha nchini humo.
Nonkanyiso Conco ambaye ana mahusiano ya kimapenzi na bwana Zuma ambaye amemzidi umri wa miaka 52. wakati huo yuko kwenye asasi inayohamasisha kampeni ya kuwawezesha mabinti wadogo katika maisha yao ya kila siku na kuacha kuwategemea wanaume wenye umri mkubwa.
Waaaaiiiiii[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Hongo sipokei shem [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Na yale mavitabu yote nimeyarundika huko vijana wanajipakulia tu. Sasa TCRA nao wanaharibu kila kitu sasa. Mianasiasa [emoji36][emoji36]
Nguvu ya pesa