Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

tapatalk_1524464224765.jpeg
 
Self inflicted wounds. Unajifanya kuchukiwa kwa mambo ya kijinga tu. Haya ndo mambo niliyokuwa naongea na Jirani. Mtu anaendesha nchi kama familia yake. Na falsafa, mitazamo na amali alizokuzwa nazo ndizo wote mnalazimishwa mkubaliane nazo. Tunakoelekea siyo kuzuri !!!
Completely right brother. Me simjui huyu jamaa afu hua hata simfatilii, me naijua Tanzania tu. Afanye wajibu wake nafanya wajibu wangu kwa Taifa langu PERIOD.! Huu upuuz wa kuamliana wapi kwenda, kile usifanye out of no where its bullishit.
 
Back
Top Bottom