Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Completely right brother. Me simjui huyu jamaa afu hua hata simfatilii, me naijua Tanzania tu. Afanye wajibu wake nafanya wajibu wangu kwa Taifa langu PERIOD.! Huu upuuz wa kuamliana wapi kwenda, kile usifanye out of no where its bullishit.Self inflicted wounds. Unajifanya kuchukiwa kwa mambo ya kijinga tu. Haya ndo mambo niliyokuwa naongea na Jirani. Mtu anaendesha nchi kama familia yake. Na falsafa, mitazamo na amali alizokuzwa nazo ndizo wote mnalazimishwa mkubaliane nazo. Tunakoelekea siyo kuzuri !!!
Mungu pia anatulinda mkuu, ila nawaza tu hii issue ya majina halisiSalama kaka,Mungu anasaidia vp huko
Mmmh [emoji124] [emoji124] [emoji124]Heeh!! Wewe shauri yako sasa
Pia bado kaweka rekodi ya kuwa mchezaji bora wa mwezi, ndani ya msimu huu kachukua miezi mitatu km mchezaji wa mweziKatupa kiki Africa yote
Kweli..safi sanaKatupa kiki Africa yote
Naiona Air Bajaj hapo chini