Maombi yanatakiwa yaambatanishwe na:
*Barua kutoka kwa chama husika cha skauti;
*Barua ya ruhusa kutoka kwa mzazi kama una umri chini ya miaka 18;
*Barua ya mualiko.
Ok! Msema kweli ni mpenzi wa Mungu, mimi mji wa Mwanza siujui kivile! Yaani huwa napita tu shaaaa, toka enzi na enzi! Ni sehemu chache sana ambazo nimewahi kuzitembelea. [emoji1][emoji1]
3.HATI YA KUSAFIRIA YA AGANO LA GENEVA
Muombaji wa hati hii anatakiwa awe na:
*Barua kutoka kwa mkurugenzi anayesimamia idara ya wakimbizi;
*Nakala ya kitambulisho cha ukimbizi;
*Picha mbili za pasipoti
MAOMBI YA KUBADILISHIWA PASIPOTI NA HATI ZA KUSAFIRIA ZILIZOHARIBIKA:
Ikiwa pasipoti au hati yako ya kusafiria imeharibika kabisa au
iko katika hali ambayo ni
lazima ibadilishwe,
muombaji anatakiwa
atume maombi kwenda kwa
kamishna wa huduma za uhamiaji.
MAOMBI YA KUTENGENEZEWA PASIPOTI MPYA KWA ILIYOPOTEA AU KUIBWA:
Ikiwa pasipoti imepotea au kuibiwa maombi ya kutengenezewa mpya
yanatakiwa yaambatane
na kiapo pamoja
ripoti ya mamlaka ambayo
muombaji alitoa taarifa ya kupotelewa au kuibiwa