Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
HahahaKhah! Huyu mzee anakula vitu laini kabisa, 76-24. Nyama ya ulimi mzee anajisevia. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HahahaKhah! Huyu mzee anakula vitu laini kabisa, 76-24. Nyama ya ulimi mzee anajisevia. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], we nae sijui ukoje tu..ningetaka kuwapeleka wote wawili si ningesema? [emoji23]
Mkuu..nchi hii ina vijana wazuri,wasomi na wenye mtizamo chanya..wangetutao hapa na kutuvusha kuwa nchi ya uchumi wa kati(ki uhalisia) lakini kama zilivyo nchi zililizo chini ya jangwa la sahara na juu ya jangwa la kalahari..tuliowapandisha juu ya ' mti' wanatusahau, wanakula matunda na kutupa kokwa chini..
Leo mitandao!!!!! Duh! Hata wahindi waliotawaliwa na mkoloni kama sisi wametupita kama roketi..
He!!! Nimetoka nje ya mada samahani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119] Asiione SYB hii!
Nilikuwa sitaki kusema cho chote lakini naona unanilazimisha. Acha tu nikae kimya ila ni aibu kubwa sana kwa ukoo !!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119] Asiione SYB hii!
HahahahaNilikuwa sitaki kusema cho chote lakini naona unanilazimisha. Acha tu nikae kimya ila ni aibu kubwa sana kwa ukoo !!!
Poti bana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119] Asiione SYB hii!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28]Nilikuwa sitaki kusema cho chote lakini naona unanilazimisha. Acha tu nikae kimya ila ni aibu kubwa sana kwa ukoo !!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] madam taratibu mwanafunzi bado mgen wa mambo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], we nae sijui ukoje tu..ningetaka kuwapeleka wote wawili si ningesema? [emoji23]
Nilikuwa sitaki kusema cho chote lakini naona unanilazimisha. Acha tu nikae kimya ila ni aibu kubwa sana kwa ukoo !!!
Mgumu mgumuuu majaribun[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]... itabidi nipambane kuuondolea ukoo hii aibu kwa kweli! [emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23], afadhari...mpeleke akaone na sehemu inayotukumbusha ajali ya KEMONDO.Weuwee nani hapajui mihama,ntakupeleka hadi jiwe kuu bwiru ukipenda nakuzingusha milima ya nyanshana yooteeee
Weuwee nani hapajui mihama,ntakupeleka hadi jiwe kuu bwiru ukipenda nakuzingusha milima ya nyanshana yooteeee