Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Hakika sio mbaya ni jambo jema kabisa...Humu kuna saa pana jam nikaona nibadilishe njia kidogo
Juzi usiku nikapiga misele yangu weee nikakuotea kwenye nyuzi ya kiba na mond basi ulionyesha mahaba yako muleee [emoji23]