Hakika sio mbaya ni jambo jema kabisa...Humu kuna saa pana jam nikaona nibadilishe njia kidogo
pamoja bro, abariki na kwako pia Mungu akutangulie kwa kila jamboBasi Mungu abariki harakati mkuu
Hahaaaa hakuna uhakika hapo,carba mharibifu anatibua kila mipango [emoji16] [emoji16]Uhakika flan hivi
Afadhali kumbe carba mharibifu peke yake
Amina [emoji120]pamoja bro, abariki na kwako pia Mungu akutangulie kwa kila jambo
eheheh [emoji3]ndio mkuu umeizoea ilee?Mkuu naona umebadiri jezi
Yah! Nilitaka kukupotea mana nilijua new member sema jina ndio likanishtuaeheheh [emoji3]ndio mkuu umeizoea ilee?
Shwari...mvua tu kwetuFresh kabisa kiongozi, vipi pande hizo mambo yanasonga?
Hahahaha ukiteleza misele nyuzi za zari hutaamin ukionachoHakika sio mbaya ni jambo jema kabisa...
Juzi usiku nikapiga misele yangu weee nikakuotea kwenye nyuzi ya kiba na mond basi ulionyesha mahaba yako muleee [emoji23]