Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Siku moja usipokuwa mwangalifu utajikuta ushatafunwa. I am just sayin' [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️Inawezekana sana.
Siku moja usipokuwa mwangalifu utajikuta ushatafunwa. I am just sayin' [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️Inawezekana sana.
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Oooh!Ndiyo. Sidhani kama ana masikio. Nadhani ndiyo center ya direction, mwanga, mawimbi na hata hali hatarishi. Akihisi hatari yo yote tu huyooo ananywea kwenye gamba lake - hata kama hakuna utelezi (japo atapata maumivu makali)
Siku inaendeleaje?
Ndio huo huo bwana weeeKila shetani na mbuyu wake[emoji4] [emoji4] sijui ndo kwenye huu wimbo
Duh!! mvua haikatiki kwetu,,
pole sana..kwetu toka alfajiri maji yamejaa barabarani kila gari inaogopa kupita isijikuwa barabara ishakatika kukaleta madhara imebidi kurudi home kusubiri kesho.....ngoja nivute shuka