carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Ya anayekukatia[emoji23][emoji23]Picha ya nani msupuu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. [emoji344][emoji344][emoji344][emoji344] Shiroooooooo !!!0205 the return of kitoo
#savethedate#[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kwenye hiyo picha. Treyvor Martin. Alitandikwa risasi na li racist limoja hivi. Halafu hata kesi likashinda...Duniani hakuna haki !!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ya anayekukatia[emoji23][emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]mchana ndio huo, mawingu ya leo yanaleta njaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. [emoji344][emoji344][emoji344][emoji344] Shiroooooooo !!!
Neema hiyo mkuuDuh!! mvua haikatiki kwetu,,
Mji gani huo mkuu?kwetu toka alfajiri maji yamejaa barabarani kila gari inaogopa kupita isijikuwa barabara ishakatika kukaleta madhara imebidi kurudi home kusubiri kesho.....ngoja nivute shuka
Wanasema haki ipo mbingini tu brathee [emoji58][emoji58]Kwenye hiyo picha. Treyvor Martin. Alitandikwa risasi na li racist limoja hivi. Halafu hata kesi likashinda...Duniani hakuna haki !!!
Hongereji na polenikwetu toka alfajiri maji yamejaa barabarani kila gari inaogopa kupita isijikuwa barabara ishakatika kukaleta madhara imebidi kurudi home kusubiri kesho.....ngoja nivute shuka
Fundi na mtoto wa nyoka..
Safi mrembo
It seems like sambade gonna bi hagidi tunaiti [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️