Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Naweza watu watakavyo leftItakuwa ndo mwisho wa hii forum...
Harakati zipo huwa haziishi mpaka siku mtu pumzi inakata...
Kweli nothing is permanent
Naweza watu watakavyo leftItakuwa ndo mwisho wa hii forum...
Harakati zipo huwa haziishi mpaka siku mtu pumzi inakata...
inaitwaje kwa kiswazi?
Mara moja moja siyo mbaya bro...Ugonjwa wangu daah