myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] muoneNipo macho mkuu. Shiro kanikatia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We mbona uko macho mkuu. Shemeji ana kesi ya kujibu tena nitamwita aje ajibie huku huku na hakuna kutimua mbio !!!
Mungu atupe afya na uzima
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Mungu atupe siku njema
Salama sana tumepotezana umehamia kijiwe gani best wanguZa masiku wa ubani?
Amina. Kumekucha salamajua linachomoza na matumaini mapya
Morning wapendwa
[emoji4] uko poa Yego?Good morning, dadake!
[emoji4] uko poa Yego?