Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

bora nilijipost nikajulikana Milly ni nani . Katika kuchokora chokora my page nikakutana na mahali pameandikwa FIND FRIENDS eeeeeh nikaingia wakaniuliza by FACEBOOK OR MY SAVE MOBILE NUMBER IN PHONE IN SHORT MY CONTACT nikajibu MY CONTACT . MATES YOU CAN'T BELIEVE YAANI KUNA PAGE ZILIKUWA ZINANICHAMBA KWA KUTUMIA FEKERO MY OWN FRIENDS YAANI. . KAMA UNA MOBILE NUMBER YA MSANII AU KIGOGO FEKERO ZAO ZOOTE UTAZIONA. . CTAKI KUWAUMBUA MASTAR NA WATU MAARUFU NIMEPOST TUU KUWASAIDIA MFUNGE HIZO PAGE COZ MTAUMBUKA KWEUPEEE . IT'S FUNNY KUNA KIGOGO KAFUNGUA FAN PAGE YAKE MWENYEWE NA HUWA ANAPITA HAPA NA ANACOMMENT NA FEKERO LAKE BABA INSTAGRAM OYEEEEEE
 
Anaeweza kuniambia hiki ni kiasi gani ntatoa zawadi aiseeee 26042018 zmebaki ngapi tupate ile 2.6T?

580743_4366022961740_168847616_n.jpg
 
Anaondoka baada ya jitihada mbalimbali za mashabiki, ikiwa ni pamoja na maandamano, kuweka mabango ya ‘Wenger Out’ na ndege kupita juu ya dimba lao zikiacha ujumbe huo huo.

Hata hivyo, kubwa na la mwisho ni mashabiki, hasa wale wakubwa wanaonunua tiketi za msimu mzima kugoma kwenda uwanjani Emirates na viti vingi kubaki wazi.
Maandamano yamemfurusha Wenger
 
Back
Top Bottom