ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Aloysia ManenoMimi ni Ben Kiko RTD Dodoma
Aloysia ManenoMimi ni Ben Kiko RTD Dodoma
Gaiii mathee mbona mapema asee[emoji58] [emoji58]Si tupatane kesho mathee[emoji112][emoji112][emoji112]
Tulus[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Ilikuwa burudani sana mkuu....Nikiwa hapa uwanja wa taifa jijini Dar es salaam kuwaletea matangazo ya moja kwa moja, mchezo kati ya Simba na Yanga, mimi ni Juma Ngondae na mwenzangu ni Mshindo Mkeyenge na Fundi mitambo wetu leo Ali Said Tunku
David Wakati...Mimi ni Sekion Kitojo
Jacob Tesha...Mimi ni Sekion Kitojo
Jambo dadaNakuona upo na mtoto mwenzio[emoji23][emoji23][emoji23]
Maiko Katembo...Mimi ni Sekion Kitojo
Bakari Msulwa...Mimi ni Sekion Kitojo