Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mwanajeshi apandikizwa ‘uume’ baada ya kujeruhiwa na bomu

Timu ya madaktari wa nchini Marekani wamefanikiwa kwa mara ya kwanza kwenye historia kufanya upasuaji wa kupandikiza ‘uume’ kwa mwanajeshi aliyejeruhiwa vibaya sehemu za siri.

Inaelezwa kuwa mwanajeshi huyo alijeruhiwa na bomu nchini Afghanistan. Madaktari walifanikiwa kumpandikiza uume pamoja na mfumo wa uzazi mwingine baada ya kupata viungo hivyo kutoka kwa mfadhili wa viungo aliyefariki.

Madaktari hao wa upasuaji wa Chuo Kikuu cha Johns Hopkins Baltimore, Maryland wameeleza kuwa kutokana na mafanikio ya upasuaji huo mwanaume huyo atapona kabisa na viungo vyake vitaendelea kufanya kazi kama kawaida
Hii safi sana, siyo kila siku nyukilia, milipuko nk
 
4ae5d3a9-ad92-4ca9-8ecd-33c773d2ae2e.jpg
 
Ohooo tunalima kilimo cha kisasa si unaona hali ya hewa inaruhusu[emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ila angechezea kichapo [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Unaibiwa[emoji441] [emoji441]
We kasmart umeona jibu hilo?
Wenzio wanalimana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Waaaiiiiii
 
Mwanajeshi apandikizwa ‘uume’ baada ya kujeruhiwa na bomu

Timu ya madaktari wa nchini Marekani wamefanikiwa kwa mara ya kwanza kwenye historia kufanya upasuaji wa kupandikiza ‘uume’ kwa mwanajeshi aliyejeruhiwa vibaya sehemu za siri.

Inaelezwa kuwa mwanajeshi huyo alijeruhiwa na bomu nchini Afghanistan. Madaktari walifanikiwa kumpandikiza uume pamoja na mfumo wa uzazi mwingine baada ya kupata viungo hivyo kutoka kwa mfadhili wa viungo aliyefariki.

Madaktari hao wa upasuaji wa Chuo Kikuu cha Johns Hopkins Baltimore, Maryland wameeleza kuwa kutokana na mafanikio ya upasuaji huo mwanaume huyo atapona kabisa na viungo vyake vitaendelea kufanya kazi kama kawaida
Hakuna kinachoshindikana chini ya jua, uhai tu ndo hali tete
 
Back
Top Bottom