Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mbona kama aloyce??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nilikosea nikampost cuzo wangu

Bebi huyu hapa mkataji wangu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125]
IMG_20180424_185440_114.jpg

Cc: ningendako
 
Shiro/'Kitooo [emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️
[emoji38] [emoji38] [emoji38] shiro will hug kitoo for u brathee [emoji123][emoji123][emoji470][emoji470][emoji470][emoji470][emoji470][emoji470][emoji470][emoji470][emoji470][emoji470]
 
Mwanajeshi apandikizwa ‘uume’ baada ya kujeruhiwa na bomu



Timu ya madaktari wa nchini Marekani wamefanikiwa kwa mara ya kwanza kwenye historia kufanya upasuaji wa kupandikiza ‘uume’ kwa mwanajeshi aliyejeruhiwa vibaya sehemu za siri.

Inaelezwa kuwa mwanajeshi huyo alijeruhiwa na bomu nchini Afghanistan. Madaktari walifanikiwa kumpandikiza uume pamoja na mfumo wa uzazi mwingine baada ya kupata viungo hivyo kutoka kwa mfadhili wa viungo aliyefariki.

Madaktari hao wa upasuaji wa Chuo Kikuu cha Johns Hopkins Baltimore, Maryland wameeleza kuwa kutokana na mafanikio ya upasuaji huo mwanaume huyo atapona kabisa na viungo vyake vitaendelea kufanya kazi kama kawaida
 
Back
Top Bottom