myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
[emoji818][emoji818]Aaah wataandamana misukule,mie najielewa bana,naongeza bando nakesha humu kula likes
[emoji818][emoji818]Aaah wataandamana misukule,mie najielewa bana,naongeza bando nakesha humu kula likes
Ndizi samakimchana wa kula
SanaMungu atupe mchana mwema
Jiran mfuasi wa kimya kimya wachama cha akina shimbaJirani anataka misambwanda itangulie vidume vifuate[emoji23]
14:2212:55
Daimaamani idumu
Daimaupendo na umoja udumu
Hapo tutapambana akikaa vibaya namtoa KO[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hajui kichaga,mwenzio kaenda ongeza misamiati ya kikenya badala ya kichaga
Wa kila mmojahaki usawa na wajibu
Na watu woteutu na uzalendo wetu ulindwe
Sanakila mtu ni muhimu sana
Hakikasambaza upendo na sio chuki
Uko sahihikila mtu anastahili heshima na kuthaminiwa utu wake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dadii ataingia kati kukuchamba kisukumaHapo tutapambana akikaa vibaya namtoa KO[emoji23][emoji23]
Hili chuma la nini?