Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

umakini unatakiwa kwasababu kuoa au kuolewa huwa si kitu cha kukimbiwa sana.
Wengi wetu tunachukulia mahusiano kama kitu cha kawaida sana,
lakini kumbe kuna changamoto nyingi ambazo kama hautakuwa makini hakuna uhusiano utakaodumu nao katika maisha yako
 
1.USIFICHE UNAVYOJISIKIA:

Mahusiano mazuri huwa hayatokei tu kama miujiza, au kujitunza yenyewe.
Bali yanakuwa mazuri na kudumu kwa kuwa wahusika wanatoa hisia za jinsi wanavyojisikia moyoni na akilini bila kuwaficha wenzao.
Kama umefanyiwa kitu usichopenda halafu ukatabasamu tu,
unajitengenezea mazingira ya kutofurahia uhusiano wako,
kwani utakuwa unajaza maumivu moyoni mwako.
 
2.MFANYIE MAZURI, AKUFANYIE MAZURI:

Mara nyingi katika mahusiano utatendewa vile vile unavyomtendea mwenzako.
Kama ukitaka kuonyeshwa upendo na mwenzako, anza wewe kumuonyesha upendo naye atarudisha vile vile unavyomfanyia,
ukitaka awe rafiki kwako, anza wewe kuwa rafiki kwake,
ukitaka akuelewe, anza wewe kumuelewa yeye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…