myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Kila kitu hapa uzini petu ni utani free na ni public domain so feel free na huna haja ya kuomba kibali. Nasubiri kuona umuduji wako wa Kikoromije japo kama ningejua ningekazia zaidi na kuweka kile cha ndani kabisa kinachoongewa na wazee wakati wa majadiliano ya mahari [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mie nimeelewa ndio, naomba kibali
[emoji23][emoji23][emoji23]Kila kitu hapa uzini petu ni utani free na ni public domain so feel free na huna haja ya kuomba kibali. Nasubiri kuona umuduji wako wa Kikoromije japo kama ningejua ningekazia zaidi na kuweka kile cha ndani kabisa kinachoongewa na wazee wakati wa majadiliano ya mahari [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nenda kawaambie kwamba, "mimi ni mkwe wenu, (mke wa kijana wenu) vile vile hata pesa nilipewa na kijana wenu yule Shimba ya Buyenze..Yeye hajambo huko Dar es salaam.@Pyaar msaada tutani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Anajulikana hakutaka tu kuchukua kadi
Sanamu la kufanyia nini hill mkuuHilo ni sanamu mkuu,