Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

moi4.jpg
 
6.ACHA KUKOSOA WENGINE:


Ukiwa mtu wa kutafuta makosa kwa wengine,
ili uwalaumu utakuwa unajikosesha furaha wewe mwenyewe.
Tabia hii itakufanya usiwe unaona mazuri kwa watu wengine.
Yaani hata mtu awe amefanya vizuri vitu tisa kati ya kumi we unashughulika na kukosoa lile alilokosea tu.
 
7.ACHA KUKIMBIA MATATIZO YAKO:


Amini usiamini, ikiwa leo hii kila mtu aruhusiwe kuyarusha
matatizo yake hewani, haitakuchukua sekunde mbili kuyachukua ya kwako
na kuona kumbe wewe huna matatizo kabisa.
Unatakiwa ukae kuyakabili matatizo yanayokukuta, kwani ndio njia pekee ya kuyamaliza.
Ukiendelea kujijengea uoga ndani yako utakufanya uogope kufanya maamuzi sahihi.
 
Vile vile hata pesa...hapo umechapia kidogo ila kwa ujumla uko vizuri na we ni mfano wa kuigwa aisee.

Kikoromoje [emoji818]
Kimwakaleli [emoji818]
Kinansio [emoji818]
Kijita [emoji818]
Kikurya [emoji818]
Kihaya [emoji818]

Safi sana [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
[emoji23][emoji23], Na tena mapesa nilipewa na kijana wenu.

Kikurya sijui kabisa.
 
Back
Top Bottom