Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

b1bb030b-5bc3-45ff-94c9-404f4e2a1fef.jpg
 
Jirani. Is that you?

Safi sana....

Numbisa njoo umuone jirani. Leo anashusha lyrics nzima nzima [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jiran leo atakua kaenda rombo kupata kinywaji sio kwa kufunguka huku
 
1.ACHA KUAHIRISHA MIPANGO YAKO:


Kuna watu wanapenda kuota mafanikio,
lakini kuna wengine wanaamka kuyatafuta mafanikio.
Kuahirisha jambo mara kwa mara kunalifanya hilo jambo kuwa gumu na la kuogopwa.
Kumbuka, jambo lolote ambalo haujalianza leo, usitarajie kuwa kesho litakuwa limekamilika.
 
2.ACHA KULAUMU NA KUSINGIZIA WENGINE:


Ukikaa kuwalaumu watu wengine kuwa ndio chanzo cha wewe kukosa au
kuwa katika mazingira fulani ni kukwepa majukumu yako.
Ukiwa mtu wa kila unapopatwa na jambo usilolipenda unatafuta mtu wa kumbwagia lawama hautasonga mbele daima.
Hii ni sawa na kutafuta visingizio vya kutaka kuonyesha kuwa wewe
hauwezi kukosea, bali kuna wengine wanaosababisha wewe ukosee.
 
Back
Top Bottom