myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Mtandao wetu umeingiliwa...
Aisee!
Nipo, ila tatizo leo kucomment mtihaniUpogo? [emoji1]
Afadhal kwakweli maana sio poaNaona mambo yamekuwa sawa sasa.
Yaani, sijui ningeumalizia wapi usiku huu jamani..Doh!Afadhal kwakweli maana sio poa
Unaandamwa sanaaaMtandao wetu umeingiliwa...
Nipo, ila tatizo leo kucomment mtihani
Vipi mzima wewe?
Hahah! jf ni sehemu pendwa kwakweli tumepata tabu ndani ya muda mfupiYaani, sijui ningeumalizia wapi usiku huu jamani..Doh!
Hahaha! Yaani jana imebidi nianze kucheza na setting tu kwenye simu yangu, hadi vitu ambavyo nilikuwa sivijui kuhusu setting nikavijua...Nikawapigia hata watu ambao sikuwa na lengo la kuwapigia[emoji23][emoji23][emoji23], yote hiyo jf haiingiliki..Hahah! jf ni sehemu pendwa kwakweli tumepata tabu ndani ya muda mfupi
Acha kabisa....Nafurahi kusikia umzima.Mi sijambo! Naona watu wa System wamefanya yao! [emoji1]
Acha kabisa....Nafurahi kusikia umzima.
Hahaha! Yaani jana imebidi nianze kucheza na setting tu kwenye simu yangu, hadi vitu ambavyo nilikuwa sivijui kuhusu setting nikavijua...Nikawapigia hata watu ambao sikuwa na lengo la kuwapigia[emoji23][emoji23][emoji23], yote hiyo jf haiingiliki..
Nilipiga ukawa hupatikaniMbona mimi hukunipigia? [emoji15][emoji1][emoji1]