Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahah! jf ni sehemu pendwa kwakweli tumepata tabu ndani ya muda mfupi
Hahaha! Yaani jana imebidi nianze kucheza na setting tu kwenye simu yangu, hadi vitu ambavyo nilikuwa sivijui kuhusu setting nikavijua...Nikawapigia hata watu ambao sikuwa na lengo la kuwapigia[emoji23][emoji23][emoji23], yote hiyo jf haiingiliki..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…