Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mwafrika ni mwafrika tu hatubadiliki kiuongoz na ki life style
Yaani Watanzania tunadharauliana sana na huko nje ndiyo kabisa. Ukienda kwenye balozi zetu hizi hata Kiswahili hawataki kuongea. Ni urasimu wa kijinga, dharau na roho mbaya tu hata huwa sielewi ni kwa nini. Miafrika sisi hovyo sana !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…