Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kukaa muda mrefu ukifanya kazi za ofisi bila kuinuka na kunyoosha viungo kwa kutembea na kijinyoosha ni moja ya sababu kubwa ya maumivu sugu ya mgongo hasa kiunoni. Wataalamu wanapendekeza mtu asikae zaidi ya masaa mawilibila kujinyoosha.
 
Wanasema kukaa ni hatari kuliko hata uvutaji wa sigara. Makampuni mengi sasa wameanza kuleta viti vya kusimama na kujenga lounges ambako wafanyakazi wanaweza kuchukua mapumziko mafupi na kwenda kujinyosha nyosha...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…