Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

30593492_471769376589191_2014934158312210432_n.jpg
 
Hahahha bro,ugonjwa wako nn, kwenye hyo link nmejionea figure yake ya hatari kumbe ni modo
Ulichelewa kuja humu (au ulikuwepo whu nouzi). Nilikuwa Katibu Mkuu wa CHAWAMITA (Chama cha Wapenda Misambwanda Tanzania). Ni hivi karibuni tu nimeachia madaraka. Wote hawa wapo kwenye mafaili yetu hapa HQ ya CHAWAMITA. Ukitaka link yo yote ya hawa warembo wanaowekwa hapa we nitonye tu Kasmart...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sure bro wale warembo waliongeza sana radha kwenye kazi zao sijui diddy aliwatoa wapi wale?
Walikuwa wanajua sana wale wadada, sijui hata wapo wapi,, bt kuna tetesi huwa nasikia artist wengi wanaokuwa chini ya lebo ya Bad boys kutoka huwa ni ishu sana anaweza kuwa anajua lkn akapotea pasipo hata kudhania,

Reference ni hawa jamaa, Cassidy, Mario winnas, cassie, wote wamepotea wakati ni wasanii wazuri sana achiria mbali montana
 
Ulichelewa kuja humu (or ulikuwepo whu nouzi). Nilikuwa Katibu Mkuu wa CHAWAMITA (Chama cha Wapenda Misambwanda Tanzania). Ni hivi karibuni tu nimeachia madaraka. Wote hawa wapo kwenye mafaili yetu hapa HQ ya CHAWAMITA. Ukitaka link yo yote ya hawa warembo wanaowekwa hapa we nitonye tu Kasmart...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahah bro, Dah msambwanda una raha yake sana, poa ntakuwa nakutonya unipe link nikatzame hyo misambwanda

Halafu kwann umetoka madarakani sasa? au sasa hv hauzimii tena ugonjwa huu wa wanaume wengi
 
Walikuwa wanajua sana wale wadada, sijui hata wapo wapi,, bt kuna tetesi huwa nasikia artist wengi wanaokuwa chini ya lebo ya Bad boys kutoka huwa ni ishu sana anaweza kuwa anajua lkn akapotea pasipo hata kudhania,

Reference ni hawa jamaa, Cassidy, Mario winnas, cassie, wote wamepotea wakati ni wasanii wazuri sana achiria mbali montana
Watakua wamefata huo upepo wa kupotea mana hawasikiki wala kuonekana tena ila walikua wanajua sana, kama hile 'hello goodmorning'' walikaza vibaya sana....

Alafu umenikumbusha mkali Cassidy mzee na huyo mwanadada mrembo kabisa kuwahi kutokea duniani ''Cassie'' alikua na ngoma yake inaitwa Paradise asee ulikua ni ugonjwa wangu ule
 
Notorious - Ten crack commandments [emoji445]

[emoji23][emoji23][emoji23]
Anakuambia muuza unga yoyote duniani hawezi kuuza unga mtaa anaoishi, na pia kama ana mtt siku akigundua huyo mtt wake nae kajiingiza kwenye utumiaji wa unga, basi lazma amsake huyo anaemuuzia mwanae unga thn amuue,,

Rest In Peace NY king,,,

Number one HipHop artist kwangu mm,, B. I. G a.k.a Frank White
 
Watakua wamefata huo upepo wa kupotea mana hawasikiki wala kuonekana tena ila walikua wanajua sana, kama hile 'hello goodmorning'' walikaza vibaya sana....

Alafu umenikumbusha mkali Cassidy mzee na huyo mwanadada mrembo kabisa kuwahi kutokea duniani ''Cassie'' alikua na ngoma yake inaitwa Paradise asee ulikua ni ugonjwa wangu ule
Hahahh cassie yupo mzee,sema now yupo busy sana kwenye movie tafuta movie hii PERFECT MATCH humo yupo cassie, montano na wengine

Halafu pia cassie ndo kiuno cha Diddy
 
Anakuambia muuza unga yoyote duniani hawezi kuuza unga mtaa anaoishi, na pia kama ana mtt siku akigundua huyo mtt wake nae kajiingiza kwenye utumiaji wa unga, basi lazma amsake huyo anaemuuzia mwanae unga thn amuue,,

Rest In Peace NY king,,,

Number one HipHop artist kwangu mm,, B. I. G a.k.a Frank White
Hahah!! Huwa nikisikia hii ngoma nafurahi sana...

Ngoja nikatafute hizo kanuni niziangushe humu
 
Back
Top Bottom