Na pia unywaji wa soda ni hatari zaidi kuliko uvutaji wa sigaraWanasema kukaa ni hatari kuliko hata uvutaji wa sigara. Makampuni mengi sasa wameanza kuleta viti vya kusimama na kujenga lounges ambako wafanyakazi wanaweza kuchukua mapumziko mafupi na kwenda kujinyosha nyosha...
I love him tooWhat about your Dad Consuela!?
Ngoja niitafute niisikilize tena broMimi najua hiyo yenye rick ross ndio rmx
Poa poa manNgoja niitafute niisikilize tena bro
Sana mkuu, kuna track moja inaitwa Love u ni more wamemshirikisha Drake na nyingne wapo na Trey Songz nilizpenda sana, na ujio huu wa album ya Diddy dirty money ulikuwa gumzo hasa wale wadada walikuwa wanajua sanaIlikua hot sana hiyo
Chocolate color
Loving you no more - dirty money ft drake
Sure bro wale warembo waliongeza sana radha kwenye kazi zao sijui diddy aliwatoa wapi wale?Sana mkuu, kuna track moja inaitwa Love u ni more wamemshirikisha Drake na nyingne wapo na Trey Songz nilizpenda sana, na ujio huu wa album ya Diddy dirty money ulikuwa gumzo hasa wale wadada walikuwa wanajua sana
Yes bro, hii track aiseeLoving you no more - dirty money ft drake
Mara ya kwanza tu naisikia nikaielewa ata kabla haijaisha, sema jamsa anajua kupoint watu wa collaboYes bro, hii track aisee