Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Hahah!! Laana kweli aisee...Mi nikitakaga kutukanwa huwa naendaga huko makusudicale. Matusi watu nje nje...Utaitwa taahira, mpuuzi na hata kutukaniwa wazazi....Mi naliitaga jukwaa la laana !!!
Naona mshana analituhumu ndio jukwaa lililosababisha jf kushambiliwa... uzi eenyewe naona umefungwa