Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

*Upo club unadance peke yako mdogomdogo..Mara gafla kademu kanakusogelea kanakuangalia kanatabasam.... Unaanza kushukuru Mungu umepata wa kucheza nae....mnacheza kama dk.30 then kanakunong'oneza kwa skio yako "nipe elfu 30 nimtumie mama ili asiangaike kunitafuta niende kulala nawewe" mwanaume huna kitu kwa M pesa wala tigopesa lakini unajikaza kumdanganya smartphone imezima.... Kanatabasamu na kusema usijali kanaondoka,unashukuru sana ila......After 2mins kanarudi na power bank*[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hapo ndipo utajua kwanini idd Amini alikua wakiume akaitwaa dada
 
30855338_429079787551472_3754315773397434368_n.jpg
 
😀😀😀😀😀😀
dadeeekii!!!
 
Back
Top Bottom